Monday 14 August 2017

Real Madrid Yaichapa Barcelona bila huruma 3-1 Wakiwa Pungufu uwanjani


Real Madrid imeitwanga Barcelona kwa mabao 3-1 nakukaribia kubeba Kombe la Super Cup, mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Camp Nou jijini Barcelona.Pamoja na kushinda kwa mabao hayo, nyota wake Cristiano Ronaldo ambaye alifunga bao la pili alilambwa kadi nyekundu.Mabao ya Madrid yalipatikana Gerard Pique ambaye amejifunga na Ronaldo akafunga la pili kabla ya Barcelona kupata mkwaju wa penalti ambao ulikwamishwa wavuni na Lionel Messi.
Wakati Madrid wakicheza pungufu mtu mmoja baada ya Ronaldo kutolewa katika dakika ya 81, Marco Asensio aliifungia Madrid bao la tatu katika dakika ya 90 na kumaliza mchezo.






1. Ter Stegen
3. Piqué
4. Rakitic
5. Sergio
8. Iniesta
9. Suárez
10. Messi
16. Deulofeu
18. Alba
22. Aleix Vidal23. Umtiti




Share:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

MC ELLY NGWALA

FOR BOOKING PLEASE CALL Business No: +255 713 404 646 +255 784 297 582 +255 767 404 647 Email: mcellyngwala@yahoo.com

MC ELLY NGWALA KTK POZI

My Blog List

Powered by Blogger.