JINA LANGU NI ELLY HEZRON
MWAIFWANI NI MAARUFU KWA JINA LA MC ELLY NGWALA KAMPUNI YANGU INAJULIKANA KWA JINA LA ELLY NGWALA
ENTERTAINMENT,
TUNAHUSIKA ZAIDI NA SHUGHULI ZOTE ZA USHEREHESHAJI (HUDUMA ZOTE ZA SHEREHE ZA KITAIFA NA KIMATAIFA ) NDANI YA ELLY NGWALA ENTERTAINMENT KUNA HUDUMA YA VIDEO PRODUCTION PAMOJA NA UPIGAJI PICHA ZA MNATO TUNAUZOEFU MKUBWA KWENYE KAZI WA ZAIDI YA MIAKA 16 .
TUMEKUSUDIA, KWAMBA IFIKAPO MWAKA 2018, TUWE TUMEKWISHA FIKA KATIKA MIKOA YA MWANZA, ARUSHA, KILIMANJARO, MBEYA, SHINYANGA NA DODOMA. NA TUTAHAKIKISHA KWAMBA HUDUMA TUNAZOZITOA ZINAISHI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.
MIMI NI MSHEHERESHAJI (MC) MAHIRI NA HODARI SANA KUTHIBITISHA HILI NICHAGUE NIKUENDESHEE SHUGHULI UNAYOIANDAA SASA
NI KAMPUNI YA KIZALENDO KUTOKA NCHINI TANZANIA,
INAYOJIHUSISHA NA MAMBO MBALIMBALI YANAYOHUSIANA NA BURUDANI, MITINDO, MUZIKI
PAMOJA NA UANDAAJI WA MATAMASHA MBALIMBALI, KAMPUNI HII IMEANZISHWA MWAKA 2010
CHINI YA MKURUGENZI WAKE MC. ELLY NGWALA. KAMPUNI IMEKUSUDIA KUWAFIKIA WATU
WENGI KATIKA KUTOA HUDUMA ZAKE ZA BURUDANI, NA KUENDELEZA UPENDO ULE ULE KAMA
ILIVYO JADI YETU WATANZANIA.
TUNAHUSIKA ZAIDI NA SHUGHULI ZOTE ZA USHEREHESHAJI (HUDUMA ZOTE ZA SHEREHE ZA KITAIFA NA KIMATAIFA ) NDANI YA ELLY NGWALA ENTERTAINMENT KUNA HUDUMA YA VIDEO PRODUCTION PAMOJA NA UPIGAJI PICHA ZA MNATO TUNAUZOEFU MKUBWA KWENYE KAZI WA ZAIDI YA MIAKA 16 .
TUMEKUSUDIA, KWAMBA IFIKAPO MWAKA 2018, TUWE TUMEKWISHA FIKA KATIKA MIKOA YA MWANZA, ARUSHA, KILIMANJARO, MBEYA, SHINYANGA NA DODOMA. NA TUTAHAKIKISHA KWAMBA HUDUMA TUNAZOZITOA ZINAISHI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.
NINAFANYA KAZI MBALIMBALI ZIKIWEMO, MC
KTK SHEREHE MBALIMBALI, MFANO: SEND-OFF PARTY, COMMUNION, KIPAIMARA,BAG PARTY NK.
PIA TUNATOA HUDUMA ZA VIDEO SHOOTING, STILL PICTURES, COVER
DESIGN,DUBBING ZA CD,.PAMOJA NA BUSINESS PROMOTION.
MIMI NI MSHEHERESHAJI (MC) MAHIRI NA HODARI SANA KUTHIBITISHA HILI NICHAGUE NIKUENDESHEE SHUGHULI UNAYOIANDAA SASA
FOR BOOKING PLEASE CALL
Business No:
+255 713 404 646
+255 784 297 582
+255 767 404 647
Email:
mcellyngwala@yahoo.com
*****Asante na Karibuni Sana*****
*****Asante na Karibuni Sana*****
easeus mobisaver crack
ReplyDelete