Saturday, 3 June 2017

TANZIA:SAMSON ZANNY MAARUFU KWA JINA LA SAMMY ZANNY AMEFARIKI DUNIA



SHALOM/ASALAAM ALEIKHM
MWILI WA MPENDWA WETU SAMSON ZANNY(SAMMY ZANNY) - TUNATEGEMEWA KUUPUMZISHA
KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE KWENYE
MAKABURI YA KINONDONI SIKU YA JUMATATU TAR. 05/06/2017

MCHANGO KWAAJIRI YA MSIBA WA MAREHEM SAMSON ZANNY
TUMA KUPITIA 0752008008 NESTORY MTEGA

KWASASA MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE SEGEREA KISUKURU
JINSI YA KUFIKA NJOO MPAKA SEGEREA MWISHO KISHA NIPIGIE
0713404646 AU 0767404647-MC ELLY NGWALA
KARIBU KWA FARAJA
R.I.P. SAMMY ZANNY

Share:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

MC ELLY NGWALA

FOR BOOKING PLEASE CALL Business No: +255 713 404 646 +255 784 297 582 +255 767 404 647 Email: mcellyngwala@yahoo.com

MC ELLY NGWALA KTK POZI

My Blog List

Powered by Blogger.