
Jeshi la Uganda limezungumzia hatua iliyochukuliwa na vyombo vya usalama kuwaondoa kwa nguvu wabunge waliotimuliwa bungeni na Spika, Rebbeka Kagada, Jumatano wiki hii.
Akizungumzia uamuzi huo, Jenerali Elly Tumwine alisema kuwa uamuzi huo ulikuwa sahihi kwani wabunge...