Miss Tanzania 2016, Diana Edward, ameingia kwenye fainali za shindano la Beauty With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World.
Beauty
With A Purpose huhusisha miradi mbalimbali ya kijamii ambayo hufanywa
na washiriki wa Miss World. Diana amewasilisha documentary ya masuala ya
ukeketaji kwenye jamii ya watu wa Masai.
Fainali za Miss World mwaka huu zitafanyika December 18, nchini Marekani.
Pamoja na Diana kuonesha kufanya vizuri, tangu atawazwe kuwa Miss Tanzania mwaka huu, amekuwa akipokea maneno hasi.
“I’m
not beautiful Yes,I’m not focused Yes,I’m in a vacation Yes,I’m dumb
Yes,I’m not up todate Yes. Who knows tomorrow ONLY God can determine
your future.Thanks for those who have been and still voting for me and
supporting me no matter how much Haters are pushing me back you guys are
still holding my hand and lift me up,” ameandika kwenye Instagram.
“Good
News My Beauty with a Purpose Documentary for Masai Dondosha Wembe has
shined again to TOP 20 waiting for the TOP position and has been said
ever since there has never been such a wonderful message to the beauty
pageant history of Miss World.Please Keep on voting for your Tanzania’s
Best Kept Secret Princess Diana,I love myself though. One rule I was
born to shade tears to fight and to become a champion,” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment