Real Madrid imeitwanga Barcelona kwa mabao 3-1 nakukaribia kubeba Kombe la Super Cup, mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Camp Nou jijini Barcelona.Pamoja na kushinda kwa mabao hayo, nyota wake Cristiano Ronaldo ambaye alifunga bao la pili alilambwa kadi nyekundu.Mabao ya Madrid yalipatikana Gerard Pique ambaye amejifunga na Ronaldo akafunga la pili kabla ya Barcelona kupata mkwaju wa penalti ambao ulikwamishwa wavuni na Lionel Messi.
Wakati Madrid wakicheza pungufu mtu mmoja baada ya Ronaldo kutolewa katika dakika ya 81, Marco Asensio aliifungia Madrid bao la tatu katika dakika ya 90 na kumaliza mchezo.
1. Ter Stegen
3. Piqué
4. Rakitic
5. Sergio
8. Iniesta
9. Suárez
10. Messi
16. Deulofeu
18. Alba
22. Aleix Vidal23. Umtiti
0 comments:
Post a Comment