Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar kilichoanza dhidi ya Simba SC.
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi (kushoto) akimtoka beki wa Mtibwa, Hassan Isihaka.
Beki wa kulia wa Simba Ally Shomari akipambana na mchezaji wa Mtibwa.
KIKOSI cha Simba leo kimeendeleza ubabe kwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki ulipopigwa Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Goli lilifungwa na winga wa Simba Emmanuel Okwi baada ya kupokea pasi ilinyooka kutoka kwa John Boko katika shambulizi lililotokea langoni mwa Mtibwa.
Hata hivyo timu hizo ziliendelea kushambuliana mpaka mwisho wa Mtibwa walikubali kulala kwa bao hilo.
0 comments:
Post a Comment