
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametoa ufafanuzi
juu ya kauli iliyonukuliwa ikionyesha kuwa alipinga vita dhidi ya dawa
za kulevya iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Amedai kuwa hakupinga vita hiyo bali alitaka busara...