Mwigizaji
Wema Sepetu leo alienda tena Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana
kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar
es salaam Paul Makonda.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi 15 March 2017 baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi bado haujakamilika
0 comments:
Post a Comment