Spika wa bunge, Job Ndugai akimwapisha Mama Salma Kikwete kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mama Salma Kikwete baada ya kuapishwa kuwa mbunge, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2017.
Rais
Mstaafu wa awamu ya nne, Jakakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba
wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili
4, 2017. Mheshimiwa Kikwete alikwenda bungeni kushuhudia kuapishwa kwa
mkewe mama Salma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment