

Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
umeanza leo Dodoma ambapo umeshuhudiwa na ugeni wa Rais mstaafu wa awamu
ya nne, Jakaya Kikwete pia mapema asubuhi mbunge wa kuteuliwa Mama
Salma Kikwete ameapishwa.

Mama Salma Kikwete






0 comments:
Post a Comment