Pete na cheni mpya za Diamond Platnumz alizozivaa kwa wakati mmoja zina thamani ya shilingi milioni 158!
Hitmaker huyo wa Marry You amepost Instagram picha mbili zikionesha madini hayo kwa kile anachosema kuwainspire mashabiki wake.
“Thanks God for my new GOLD & DIAMONDS collection…i never thought i
would be able to hang 50,000$ on my neck,” ameandika kwenye picha ya
kwanza.
Kwenye picha nyingine ameandika, “Thanks God for your daily blessings
never thought i would be able to walk with 22,000 $ on my Hand!!!… jus
get inspired @sallam_sk don’t hate.”
Muimbaji huyo wikiendi iliyopita alitumbuiza show ya nguvu humo Muscat, Oman.
0 comments:
Post a Comment