Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Mawasiliano ya Ikulu, Gerson Msigwa ameikanusha taarifa inayosambaa
ikionyesha kuwa serikali inatishia kuifuta mitandao ya kijamii.
Taarifa hiyo iliyoonyesha imeandaliwa na Ikulu, ilieleza kuwa
serikali haitasita kuifuta mitandao ya kijamii iwapo itabaini kuwa yote
yanayoendelea hayana tija.
“Serikali inafuatilia kwa karibu yote yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, na endapo itabaini haina tija,
Msigwa baadaye aliandika katika ukurasa wake wa Twitter akiwataka watanzania waipuuze taarifa hiyo kwa kuwa ni feki.
Chanzo:Mwanachi
0 comments:
Post a Comment