Monday, 13 March 2017

Mafuriko Yasababisha Jiji la Dar Kusimama



Mvua Kubwa iliyonyesha sehemu mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam imepelekea maji kujaa na kusababisha adha ya usafiri.
Mwenge, Sinza na Mlimani City ni baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua hii. Wafanyabiashara Mwenge wamepata hasara baada ya maji kuingia madukani na kuharibu bidhaa.

Barabara za Bagamoyo na Mwai Kibaki(Old Bagamoyo) zimejaa maji na kusababisha foleni na kuwakwamisha wasafiri kwa masaa kadhaa.


Eneo la Bamaga jijini Dar es salaam, likiwa limejaa maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya mji huu.
 
 Kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa jijini Dar es salaam leo, soko la Sinza limelazimika kufungwa kwa muda kutoka na kujaa maji eneo lote la soko hilo.
 Leo huduma haita patikana hapa.
 Haya shtuaaaa.......



Share:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

MC ELLY NGWALA

FOR BOOKING PLEASE CALL Business No: +255 713 404 646 +255 784 297 582 +255 767 404 647 Email: mcellyngwala@yahoo.com

MC ELLY NGWALA KTK POZI

My Blog List

Powered by Blogger.

Blog Archive